hiki ni kitaru cha kuoteshea miti chini ya mradi wa HIMISANTA katika chuo cha DIT mwanza
mladi huu una tarajia kuotesha miche zaidi ya 100,000 au zaidi na kuipanda katika sehemu mbali mbali zikiwemo shule, maeneo ya jeshi na kadharika ili kukabiliana na hali ya jangwa na upungufu wa madawti mbalo ni tatizo la shule nyingi hapa nchini
huu ndiyo mwonekano wa awali kabisa wa vitaru vilivyo sambazwa mbegu za miti.



















